Tafuta katika Blogu Hii

Jumanne, 29 Oktoba 2013

love me or live me katedeluna
MIRROR FT Ali KIba

POZI LA MSANIII KATIIKA VIDEO MPYA

Wasanii wa Film kutoka nyanda za juu kusini
  wakiwa katika picha ya pamoja na Mhandishi  wa habari na Mtangazaji kutoka Radio Country fm.....
 Dully braza meen msta mifisa katika poz la video yake mpya kabinti speshoo.

Video Mpya Inayo mfanya apate shoo nyingi kwa sasa.
 Noreen Joseph up coming modo
with her ambition to be famous and good example for others

Ni Video ambayo aliimba na mr blue lakini katika utoaji wake ameonekana yeye mwenyewe lakin bado iko vizurr saaana Phd Hemed 

Maana ya PHD n mwanaume mwenye mwili mkubwa mzuri

Mmiliki wa blogu ya Bongo yetu na pia n Mhandishi wa Habari kutoka Country Fm iringa.


pozzz Toafauti katika kupata jikooo















wasanii wa film kutoka Iringa mjini katika picha ya pamoja na mtangazaji wa Radio country fm Iringa