Hatimaye Manchester
city wamekubali kutoa kitita cha pauni million 27 kwaajilia ya kumnuna mchezaji
wa Swansea city na timu ya taifa ya ivory coast ambae amepewa mkataba wa miaka minne
na nusu kwaajili ya kuisaidia timu ya Manchester city kuchukua ubingwa wa ligi.
Tayari Bony
n mchezaji wa man city huu uhamisho unamfdanya bony kuweka history yakuwa
mchezji ghali wa Africa ambae analipwa mshahara wa pauni 115,000 kwa week.
City watamsubiri
bony mpaka atakapo rudi kutoka kombe la mataifa ya afrika pamoja na mchezaji tegemeo wa Manchester city
yaya toure, lakin wakiwa na imani kuwa bony atafanya makubwa akiwa na timu hiyo
ya Manchester
Bony inatakiwa
aonyeshe uwezo alouonyesha mwaka 2014 kwa kuwa mfungaji mwenye magoli mengi
akifuatiwa na kun Aguero akimaliza mwaka kwa magoli 20.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni