Tafuta katika Blogu Hii

Jumatatu, 9 Desemba 2013

DIAMOND, CHEGGE NA MWASITI WALIVYONOGESHA USHINDI WA STARS DHIDI YA UGANDA CHALLENGE MOMBASA

DIAMOND, CHEGGE NA MWASITI WALIVYONOGESHA USHINDI WA STARS DHIDI YA UGANDA CHALLENGE MOMBASA

Msanii nyota wa Tanzania, Diamond Plutinums akiimba mbele ya umati wa mashabiki katika ufukwe wa hoteli ya Big Tree Beach Resort mjini Mombasa usiku huu katika onyesho maalum la wasanii wa kundi la Kigoma All Stars. Shoo hiyo ilifanyika saa chache baada ya timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kuitoa Uganda katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Uwanja wa Manispaa, Mombasa kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90.    






Chegge wa TMK naye akifanya vitu vyake Mombasa



Mashabiki wa Tanzania walikuwepo ukumbini

Queen Darleen akiimba


Abdul Kiba alikuwepo pia

Maunda Zorro naye

Mwasiti pia

Hata Peter Msechu

Binti akiikakitikia kamba wakati Chegge anaimba 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni