Tafuta katika Blogu Hii

Ijumaa, 1 Agosti 2014

HAWA NDO MAKOCHA WA FC BARCELONA WALIKOKUJA TANZANIA KUWAPA SOMO MAKOCHA WA DARAJA LA KWANZA hapa TANZANIA HAYA NDO YALIYO JILI HII LEO

MAKOCHA BARCA WALIVYOWAPIGA DARASA MAKOCHA WA KIBONGO LEO DAR

Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza jana kwenye uwanja wa Karume jijini Dare salaam ikiwa ni sehemu ya mafuzo hayo ya siku mbili yaliyoandaliwa na Castle Lager kupitia ushirikiano wake na FC Barcelona. 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni