Tafuta katika Blogu Hii

Ijumaa, 9 Januari 2015

FULL STORY KUHUSU USAJILI MPYA ULAYA,,, MESSI, VALDES NA WENGINEO......

 VALDES AMEJIUNGA NA MAN U KWA MKATABA WA MIEZI 18 LAKINI AKIWA NA UWEZO WA KUONGEZA MKATABA WA MWAKA MMOJA MBELENI....
View image on Twitter
Manchester United         @ManUtd
is delighted to announce that Victor Valdes has signed an 18-month contract with an option for a further year. 

XXXXXXXXXXXX
KRUL TO MANCHESTER UNITED?

And you know what, Manchester United might not be done. According to the Daily Mirror, they also want Tim Krul. Louis van Gaal fears David de Gea could leave for Real Madrid and is plotting a shock move for the Newcastle goalkeeper - his second-choice for Netherlands at the World Cup.
 
 KOCHA WA MAN U ANAWASIWASI KIPA WAKE DAVID DEGEA ATAELEKEA REAL MADRID KWA HIYO ANAWEZA KUMNUNUA GOLI KIPA WA NEWCASTLE UNITED AMBAE ALISHAWAHI KUFANYA NAE KAZI UHOLANZI TIMU YA TAIFA KAMA GOLI KIPA NAMBA MBILI BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI WA VALDES.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni