- JIAMINI - Epuka kuwashirikisha watu wengi mipango uliyojiwekea maana wengi wao hawapendi kuona unafanikiwa,
- SIMAMA PEKE YAKO - Ushirikiano wasanaa ya Iringa ni dhaifu sana kila mtu anatamani nafasi ya mwenzie Mfano. muigizaji anataka awe director pia awe kamera man.
- STORY MBOVU - Wengi sana mnahitaji ushauri katika utunzi wa story kwakuwa mnafanya vitu ambavyo wengine walishafanya ni wavivu wa kufikiria vitu vingi na tunategemea effects kuliko uhalisia
- EPUKA MAKUNDI - kama unahitaji kufanikiwa katika sanaa hakikisha unajiweka mbali na makundi yanayoanzishwa kila leo mengi yao hayana maendeleo zaidi ya majungu na unakuta mtu mmoja anamadaraka kuliko wengine wote na anataka kila analosema litimizwe.
- UPENDO - kuwa na upendo na mawasiliano ya karibu kwa kila msanii hii itakusaidia kupata nafasi katika filamu nyingi bila hata kuwa katika kundi.
KAMA UNAHITAJI MAFANIKIO KWA MWAKA 2015 IWE WEWE NI MUIGIZAJI AU MUONGOZAJI AU MMILIKI WA KUNDI.
TUWASILIANE
GMAIL. ekashwaleo@gmail.com
PHONE. 0753783817 whatsup
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni