Tafuta katika Blogu Hii

Jumatano, 7 Januari 2015

MESS ANAENDA CHELSEA ONA HAPA AMEJIUNGA KUPITIA INSTAGRAM........ WILFRED BONNY MANCITY PAUN 30 MIL.

lionel-messi-messi-lionel-messi-messi-adidas-adizero-f50-adidas-adidas-adizero-football
Mgogoro unaoendelea ndani ya klabu ya Barcelona kwa sasa umezua tetesi nyingine kuhusiana na baadhi ya wachezaji ambao wanaweza kuihama klabu hiyo baada ya hali kuonekana sio nzuri kutokana na matokeo ya timu hiyo kutokuwa mazuri.
Mchezaji nyota wa timu hiyo Lionel Messi ambaye majuzi aliwekwa benchi wakati wa mchezo wa Barcelona dhidi ya Real Sociedad amehusishwa moja kwa moja na kinachoendelea ndani ya Barcelona kwa sasa.
Inadaiwa kuwa uhusiano wa Messi na kocha wake Luis Enrique si mzuri kiasi cha kufikia hatua ya nyota huyo kukosa raha ndani ya klabu hiyo.
Oorodha ya watu ambao Lionel Messi amewafuata kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram ikionyesha akiwa ameifuata klabu ya Chelsea .
Orodha ya watu ambao Lionel Messi amewafuata kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram ikionyesha akiwa ameifuata klabu ya Chelsea.
XXXXXXXXXXXXXX

ANAHUSISHWA KWENDA MANCHESTER CITY AMBAYO IMEKUBALI KUTOA KITITA CHA PAUN  30 MIL. 
 
Where there's a Wilf there's a way: Could Bony swap Swansea for Man City?
Manchester City have agreed a whopping £30million fee with Swansea for striker Wilfried Bony.
The 26-year-old Ivory Coast star is expected to sign a four-year deal worth £100,000-a-week.
Swansea have cashed in on their star man after Bony made it clear to them that he wanted to listen to offers from Champions League clubs this month.
City have moved to inject fresh impetus into their bid to retain the title after wiping out Chelsea's lead at the top of the Premier League. That feat has been achieved despite injuries to Edin Dzeko and top scorer Sergio Aguero.
Bony is currently Swansea's top scorer with nine goals in his last 14 appearances

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni